Obama amewasili Vietnam akianza ziara barani Asia

Obama anaanza ziara ya wiki moja barani Asia Rais wa Marekani Barack Obama amewasili nchini Vietnam wakati anaanza ziar...

Obama anaanza ziara ya wiki moja barani Asia
Rais wa Marekani Barack Obama amewasili nchini Vietnam wakati anaanza ziara ya wiki moja barani Asia.
Maafisa nchini Marekani wanasema kuwa ziara hiyo ina lengo la kuboresha ushirikiano wa ulinzia na kiuchumi kati ya mataifa hayo ambayo ni mahasimu wa zamani.
Waandishi wa habari wanasema kuwa Marekani inataka kuiunga mkono Vietman na mataifa ya kusini mashariki mwa Asia yaliyo kwenye mzozo wa kikanda na China.
Vietnam inaripotiwa kutaka iondolewe vikwazo vya silaha ilivyowekewa na Marekani.

Related

HABARI 13314327660922123

Post a Comment

emo-but-icon

MMILIKI WA BLOG HII

MMILIKI WA BLOG HII

KILIMANJARO MOUNTAIN IN TANZANIA

http://www.tanzaniaparks.go.tz/

welcome in Tanzania at Arusha Mount meru

https://www.blogger.com/blogger.g?blogID=7138641291977024838#editor/target=post;postID=3203923396230239409

https://web.facebook.com/kephasilani?fref=ts

Recent

Comments

item