Picha,Jumba alilonunua French Montana kutoka kwa Ex wa Justin Bieber,Selena Gomez.

Picha,Jumba alilonunua French Montana kutoka kwa Ex wa Justin Bieber,Selena Gomez. Rapa French Montana amenun...


Picha,Jumba alilonunua French Montana kutoka kwa Ex wa Justin Bieber,Selena Gomez.

Rapa French Montana amenunua jumba la Selena Gomez huko Calabasas, California kwa kiasi cha pesa Dola milioni $3.3 za Kimarekani.
Kwa mujibu wa TMZ French amepunguziwa zaidi ya dola $150,000 kwenye bei hio.
Selena Gomez  ameuza nyumba hio baada ya kuwa anafuatiliwa na mashabiki wasio jua mipaka kwenye nyumba hio kwa zaidi ya miaka mitatu sasa.
Nyumbo hio iko kwenye eneo moja ambapo nyumba ya Khloe Kardashian ipo. French Montana na Khloe Kardashian  walishawahi kuwa wapenzi.
French Montana lina vyumba vitano vya kulala,mabafu sita,  bwawa la kuogelea, chumba cha Wine. Awali Selena Gomez alitaka dola milioni $4.5 mnsamo November mwaka jana.
0429-french-montana-selena-gomez-house-launch-3

Related

BURUDANI 2183218761973856331

Post a Comment

emo-but-icon

MMILIKI WA BLOG HII

MMILIKI WA BLOG HII

KILIMANJARO MOUNTAIN IN TANZANIA

http://www.tanzaniaparks.go.tz/

welcome in Tanzania at Arusha Mount meru

https://www.blogger.com/blogger.g?blogID=7138641291977024838#editor/target=post;postID=3203923396230239409

https://web.facebook.com/kephasilani?fref=ts

Recent

Comments

item