Stori,Prince alitaka kuwa mwalimu wa Chris Brown Kabla ya kifo chake.

Kwa mujibu wa mahojiano na jarida la Rolling Stone ambayo yalichapishwa hivi karib...

Kwa mujibu wa mahojiano na jarida la Rolling Stone ambayo yalichapishwa hivi karibuni, marehemu Prince alitaka sana kuwa mwalimu wa kipaji cha Chris Brown.
Mahojiano haya yalifanyika mwaka 2014 Prince alitaka kuwa mwalimu wa Chris Brown na alishawahi kumkaribisha kwenye jumba lake huko Paisley Park mjini Minneapolis.
Prince alishangazwa sana na watu kusema hawawezi msamehe Chris Brown kwa kitendo cha kumpiga Rihanna mwaka 2009 .
Baada ya kifo cha Prince, Chris Brown aliandika hivi  “I AM THANKFUL FOR EVERYTHING THIS MAN HAS GIVEN US AND HE WILL LIVE FOREVER IN MY HEART!”
Prince alifariki April 21 akiwa  na miaka 57

Related

BURUDANI 6090723390577002121

Post a Comment

emo-but-icon

MMILIKI WA BLOG HII

MMILIKI WA BLOG HII

KILIMANJARO MOUNTAIN IN TANZANIA

http://www.tanzaniaparks.go.tz/

welcome in Tanzania at Arusha Mount meru

https://www.blogger.com/blogger.g?blogID=7138641291977024838#editor/target=post;postID=3203923396230239409

https://web.facebook.com/kephasilani?fref=ts

Recent

Comments

item