Soulja Boy anaelekea kumzidi Beyonce Utajiri.
Rapa Soulja Boy ametumia twitter yake kutangaza dili kubwa la dola milioni $400 alilopata hivi karibuni. Soulja Boy ali...
https://clemencekarani.blogspot.com/2016/05/soulja-boy-anaelekea-kumzidi-beyonce.html
Soulja Boy aliandika Twitter “$400 million deal confirmed,I still they think they low balled me though. I was thinking 2 or 3 billion..”
Soulja akikamilisha mchongo huu atawafunika wasanii kibao wa kiume na hata wa kike wenye mkwanja mrefu kama Beyonce.
Kabla ya dili hili dhamani ya Soulja Boy ilikuwa dola milioni 25 .


