WizKid anatembea kifua mbele baada ya wimbo alioshirikishwa na Drake kuvunja rekodi ya Hello wa Adele,ingia hapa
Wimbo wa Drake uliopewa jina la “Once Dance” umevunja rekodi ya kusikilizwa mtanda...
https://clemencekarani.blogspot.com/2016/05/wizkid-anatembea-kifua-mbele-baada-ya.html
Wimbo huu wa Drake “One Dance” Ft Wizkid & Kyla umesikilizwa na watu milioni 7.86 nchini Uingereza tu na kufunika wimbo wa Adele wa “Hello” uliosikilizwa na watu milioni 7.32.


