Ethiopia yatekeleza operesheni Sudan Kusini
Wanajeshi wa Ethiopia Serikali ya Ethiopia inasema kuwa wanajeshi wake wamelizingira eneo moja nchini Sudan Kusini ambapo inaamini z...

http://clemencekarani.blogspot.com/2016/04/ethiopia-yatekeleza-operesheni-sudan.html
![]() |
Wanajeshi wa Ethiopia |
Serikali ya Ethiopia inasema kuwa
wanajeshi wake wamelizingira eneo moja nchini Sudan Kusini ambapo
inaamini zaidi ya watoto 100 waliotekwa nyara wanazuiliwa.
Watoto hao walitekwa katika uvamizi wa mpakani ijumaa iliopita,ambapo zaidi ya watu 200 waliuawa.Washambuliaji hao wanadaiwa kuingia nchini Ethiopia kutoka Sudan Kusini na kuchukua mifugo na mara nyengine huwateka watoto.