Astona Villa yanunuliwa na Mchina
Tony Xia Klabu ya soka ya Aston villa ambayo imeteremka daraja msimu huu katika ligi kuu ya England,hatimaye imenunuliwa na tajiri wa...

http://clemencekarani.blogspot.com/2016/05/astona-villa-yanunuliwa-na-mchina.html
![]() |
Tony Xia |
Klabu ya soka ya Aston villa ambayo
imeteremka daraja msimu huu katika ligi kuu ya England,hatimaye
imenunuliwa na tajiri wa kichina Tony Xia ambaye ni mfanya biashara
aliyewekeza katika sekta ya Michezo,Utalii,kilimo na afya.
Aston villa imeshuka daraja baada ya kuwa timu ya mwisho katika msimamo nafasi ya ishirini ikiwa na alama kumi na saba .