Sevilla watwaa kombe ligi ya Europa

Klabu ya soka ya Sevilla ya nchini Hispania imeshinda taji la Europa kwa mara ya tatu mfululizo baada ya kuichabanga klabu ya soka ya L...

Klabu ya soka ya Sevilla ya nchini Hispania imeshinda taji la Europa kwa mara ya tatu mfululizo baada ya kuichabanga klabu ya soka ya Liverpool kutoka Uingereza magoli matatu kwa moja.
Liverpool walitawala na kuongoza kipindi cha kwanza lakini Sevilla walisawazisha matokea mwanzoni kabisa mwa kipindi cha kwanza na baadaye kufunga magoli mawili ya ushindi.
Kwa ushindi huo wa Sevilla itamaanisha kuwa vilabu vya nchi ya Hispania vitatawala katika mashindano makubwa msimu huu.Fainali ya klabu bingwa barani Ulaya itachezwa Mei 28 baina ya Real Madrid na Atletico Madrid.

Related

MICHEZO 2595508359515545361

Post a Comment

emo-but-icon

MMILIKI WA BLOG HII

MMILIKI WA BLOG HII

KILIMANJARO MOUNTAIN IN TANZANIA

http://www.tanzaniaparks.go.tz/

welcome in Tanzania at Arusha Mount meru

https://www.blogger.com/blogger.g?blogID=7138641291977024838#editor/target=post;postID=3203923396230239409

https://web.facebook.com/kephasilani?fref=ts

Recent

Comments

item