Museveni ampandisha cheo mwanaye jeshini
Rais wa Uganda Yoweri Museveni, amempandisha cheo mwanaye na kufikia ngazi ya Meja Jenerali. Muhoozi Kainerugaba anatambulika kama m...

http://clemencekarani.blogspot.com/2016/05/museveni-ampandisha-cheo-mwanaye-jeshini.html
Rais wa Uganda Yoweri Museveni, amempandisha cheo mwanaye na kufikia ngazi ya Meja Jenerali.
Muhoozi
Kainerugaba anatambulika kama mtu mwenye nguvu sana katika jeshi la
nchi hiyo na wengi wanaamini kuwa anatengenezwa kwa ajili ya kumrithi
baba yake ambaye amekuwa madarakani kwa miaka 30 sasa.Jenerali Kainerugaba amepinga kuwa baba yake anajitengenezea siasa za kifalme, laikini pia akiweka wazi malengo yake ya kuwa mwanasiasa.
