Nigeria yatupilia mbali mswada wenye utata
Mswada huo ulipendekeza kifungo cha miaka saba jela au faini ya dola 25,000. Bunge la senate nchini Nigeria limetupili...

http://clemencekarani.blogspot.com/2016/05/nigeria-yatupilia-mbali-mswada-wenye.html
![]() |
Mswada huo ulipendekeza kifungo cha miaka saba jela au faini ya dola 25,000. |
Bunge la senate nchini Nigeria
limetupilia mbali mswada ulionuia kudhibiti mitandao ya kijamii ambao
wakosoaji walidai ulilenga kukandamiza uhuru wa kusema.
Ulipendekeza kifungo cha miaka saba jela au faini ya dola 25,000 kwa yeyote ambaye angepatika akituma ujumbe wa matusi.